Tangazo!
Habari! Tunapenda kuwatangazia kuwa Malipo ya Ada ya usajili kwa watoa huduma ya msaada wa kisheria inalipiwa
kupitia Benki ya PBZ katika Akaunti namba 0740021001 jina IDARA YA MSAADA WA KISHERIA.
Kwa Maelezo zaidi piga 0777740024 au 0777514469